Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Shemata Khamis, amesema Serikali ya Zanzibar imechukua hatua ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana kutumia fursa ya uwekezaji unaofanya na Serikali katika sekta ya TEHAMA ili ...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imesema itahakikisha wananchi wengi wanafikiwa na huduma za kibingwa za uchunguzi na ...
Serikali imesema itaendelea kusimamia na kuratibu kwa ufanisi shughuli za Uchumi wa Buluu nchini ili kuhakikisha wananchi ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi Ofisi Maalum kwa Walipa Kodi Binafsi wa Hadhi ya Juu, ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma kwa kundi la walipa kodi wenye mchango mkubwa katika uchumi wa ...
Serikali imeeleza kuwa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) sasa una uwezo wa kuzalisha megawati 700 ...
Mtanzania Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kusimamia sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa - Featured ...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya ...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungwa mabao 2-0 na DR Congo katika mchezo wa kundi H wa kufuzu Fainali za Kombe la ...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, ameithibitishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa masuala ...
Akizungumza leo Oktoba 15,2024 Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, amesema Serikali itashirikiana na mbia huyo kujenga ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amekielekeza Chuo cha Viwanda vya Misitu Moshi (FITI) kujitangaza ili ...