Sanamu ya shaba ya baiskeli ya magurudumu matatu iliyokuwa ikimilikiwa na mvulana mmoja aliyefariki kwenye shambulizi la bomu ...
Takwimu za serikali ya Japani zinaonyesha kuwa wafanyakazi wa kigeni zaidi ya 9,700 walitoweka kutoka kwa waajiri wao chini ya mpango wa mafunzo ya ukufunzi wa kiufundi mwaka jana ikiwa ni rekodi ya j ...
Ikulu ya Marekani inasema Rais wa nchi hiyo Joe Biden na Makamu wake Kamala Harris watafanya mikutano tofauti na Rais wa ...
Jamii za Japani nchini China zimeshtushwa kutokana na shambulizi la kisu lililosababisha kifo cha mwanafunzi mwenye umri wa ...
Umoja wa Ulaya, EU umeamua kutumia fedha zilizotokana na riba ya mali za Urusi zilizoshikiliwa kuisaidia Ukraine wakati nchi ...
Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah ameapa kuwa mashambulizi yaliyotekelezwa kote nchini Lebanon yatakumbana na kile ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya kila siku. Kwa raia wengi wa kigeni, kupata sehemu ya kuishi nchini Japani si kazi rahisi. Katika mfululizo huu, tunakudokeza taarifa itakayosaidia ...
Rais wa Urusi Vladimir Putin anapanga kuongeza uzalishaji wa droni mwaka huu zinazotumika katika uvamizi nchini Ukraine hadi ...
在中國廣東省深圳市,一名就讀當地日本人學校的10歲男童,在上學途中遭一名持刀男子襲擊不幸身亡。此事件恐對日中兩國的人文交流以及日本對中國的投資造成影響。