Soko la Machinga la Ukwaju lililopo eneo la Igoma Kata ya Kishiri jijini Mwanza, linalokadiriwa kuwa na zaidi ya ...
Serikali imewapa kibarua maofisa uhusiano ya umma katika ukanda wa Afrika Mashariki kukabiliana na ongezeko la habari potofu, ...
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 23, ...
Muandaaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen amesema kinachokwamisha washindi wengi wa shindano hilo la ...
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela atoa angalizo kwa Diddy juu ya kutumia jina la Brother Love ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imewakuta na kesi ya kujibu washitakiwa wote wanne wa kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye ni mkazi wa Yombo Dovya jijini ...
Si kila utani unasababisha ugomvi bali utani mwingine una manufaa katika jamii katika kuimarisha udugu, ushirikiano na umoja.
Saa chache baada ya Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuweka wazi kuwa limewakamata wanachama 14 wa Chadema, wakiwemo ...
Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu anashikiliwa kituo cha Polisi Mbweni ...
Maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Jumatatu, Septemba 23, 2024, ...
Washtakiwa watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya Sophia Sita, Mkazi wa Kijiji cha Kasala wilayani Chato Mkoa wa ...
Sarah Petro (74), mkazi wa Kijiji cha Magulukwenda, Kitongoji cha Mizorozoro Kata ya Kalebezo wilayani Sengerema Mkoa wa ...